Wana Jf heshima mbele. Naomba msaada wa jinsi ya kupata ITV kwenye king'amuzi cha star times toleo la kwanza. Kwa toleo jipya inawezekana kwa kuingiza manual search kwa kutumia frequency 530. Naomba msaada wenu taarifa za tbc1 zinaniboa sana siku hizi.

Ni kweli mpaka ITV wajiunge nao kwa mkataba kama walivyofanya Channel ten, Clouds na TBC1. Itakuwa vema na wengine wajiunge kama ITV, Star Tv na wengineo.
570 imeleta ATN, EATV, ITV na nyingine saba za nje lakini katika katika za ndani ATN tu ndio inaonyesa, zingine ziko black tu afu badae zinasema no SERVICE AVAILABLE, any soln?