HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

swit and kyut paxie shida ya nini? kwa nini hukusema mapema?

Kaunga is so sweet hawezi kukunyima wewe dawa kama anayo store.

Kaoge urefresh huwo mwili jasho halina tija tena!

Hahahah umeshanitekenya najisikia kupona cwt lov.... daah angalia sana utaniua na pressure
si lazima niseme kizazi chetu hiki mpaka hapa bado hujanielewa?

naku.....! :)
 
hakuna njia ya kutumia bila facing the guy? y do i have to face him na hali simtaki? nipe shortcut.
akiwepo siwezi kongea, kmbka anakuwa moyoni na ubongoni. sioni kama kutakuwa na la mana nitaongea.
The bottom line is to find out WHY you can't get him out of your mind. If you can't find it out by yourself than you have to meet him and find out as you are with him. Sijui njia nyingine. (Piece of advice: the more you resist thinking about him the more you will find yourself unable to get him out of your mind).
It is not a big deal, it happens. Just talk to him and it will be over very soon. HIvi una miaka mingapi Erotica?
 
Last edited by a moderator:
Erotica dear, was a little busy. Sasa nani huyo anayeoccupy that juicy sweety mind of urs 24/7!

Tumehushue mathread weekend yote, huenda akaelewa somo; au unaonaje?

BTW inabidi uninong'oneze ili tuwe na stratergic plan ya ukweliiii!
 
Last edited by a moderator:
Sawa wewe nitumie mimi nitaongea naye tu. manake kuliko akutese ilihali humtaki ni bora akajua asipote energy zake bure.

gfsonwin umenikwaza unamuonea huruma mtu ambae hana habari? anapoteza energy gani?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin umenikwaza unamuonea huruma mtu ambae hana habari? anapoteza energy gani?

Hapo utakosea kama utasema nimekukwaza, naamin huyu mkaka yawezekana aliwah hata kukupm tu so he used his physical and mental energy. kwa hiyo lazima aambiwe tu. And to me siyo kwamba numuonea huruma la but am triying to be reasonable. Erotica lazima ujue hata kama anakukwaza haipunguzi nafasi yake ya yeye kuwa binadamu. so am sorry i didnt mean so
 
Last edited by a moderator:
Hahahah umeshanitekenya najisikia kupona cwt lov.... daah angalia sana utaniua na pressure
si lazima niseme kizazi chetu hiki mpaka hapa bado hujanielewa?

naku.....! :)

wewe ilikuwa unaugua bureeee! mbona hata mimi hivo hivo? unaniangusha swt paxie.
 
The bottom line is to find out WHY you can't get him out of your mind. If you can't find it out by yourself than you have to meet him and find out as you are with him. Sijui njia nyingine. (Piece of advice: the more you resist thinking about him the more you will find yourself unable to get him out of your mind).
It is not a big deal, it happens. Just talk to him and it will be over very soon. HIvi una miaka mingapi Erotica?

Nimeelewa dada. wat has age got to do with anything?
 
Moja kati ya mambo ambayo nitakazania yaingie kwenye katiba mpya ni kuhalalisha TOHARA YA WANAWAKE. Jamani eeh, hako kakidude nako kakiwa karefu hujisugua kwenye mapaja na matokeo yake ndio mada za namna hii ambazo MMP nikitoa maoni yangu tu, one of the female mods ananiPM kwa mikwara.

Dawa ya tatizo lako ni kurudia mila

Kupenda wapende wanaume wakipenda wanawake wapelekwe tohara!
 
Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo.
Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam,
huku nikimkumbuka mwengine kwa utalaamu wake wa kunikuna n.k. Au wakati mwingine
naguswa moyoni hata mara 10 na watu 10 tofauti kwa siku, kutembelewa na watu kama 7 katika
ubongo wangu ama kama 13 rohoni kwangu.

Sasa ya leo kali, nina siku ya 4 namuwaza huyu mmoja tu! Sipendi na wala sijawahi maishani mwangu
kuwaza mtu mmoja, sioni mantiki na naona nikiwaza mmoja wengine nitawapoteza sababu huwa nakuwa
nao na kuwatafuta sababu nao nawawaza. Sasa amekuja huyu kawa king’ang’anizi ndani ya moyo wangu,
akiwa kama ganda kwenye ubongo wangu na kajenga kivuli cha muonekano wake machoni pangu.
Kila saa ni yeye hapishi wengine. Ananiboa na ananiharibia mood maeneo mengine ya mwili.
Na kubwa kuliko ananiharibia mipango yangu ya kuwa mama wa watoto mapacha.
Uzuri yupo hapa hapa jf kwahio msg sent! Kaka tafadhali nikome!

Kaunga my sweetest I need you now more than ever! wea ar u my love?

Nisaidieni wapendwa katika bwana, ni ugonjwa gani huu? mwenzenu Ero haujawahi nipata!
Dr. Mzizi Mkavu na wengineo msaada plz. Am I sick? Na kama naumwa dawa yake nini?

No mwaaaaah. I think am Sick.:A S cry:

Mhhhhh! Haya bana! :):) pole sana na ugonjwa Erotica...nakutakia weekend njema

Last edited by a moderator:
Erotica dear, was a little busy. Sasa nani huyo anayeoccupy that juicy sweety mind of urs 24/7!

Tumehushue mathread weekend yote, huenda akaelewa somo; au unaonaje?

BTW inabidi uninong'oneze ili tuwe na stratergic plan ya ukweliiii!

Kaunga my sweetest. i fil beta. wewe ndie utatowa

mwongozo wote this mind is not mine anymo'. leo tupate chai yetu ya jion,

labda na some candle lite will help au sio babe?
 
Last edited by a moderator:
Wewe huna ugonjwa wowote bali wewe ni shetani tena shetani mbaya sana wa ngono. Uwe unawawaza watu 7 kwa mara moja kila mtu kivyake kama si shetani ni nini?

Audhu Billahi Minna Sheytwani Rajyim.
 
Hapo utakosea kama utasema nimekukwaza, naamin huyu mkaka yawezekana aliwah hata kukupm tu so he used his physical and mental energy. kwa hiyo lazima aambiwe tu. And to me siyo kwamba numuonea huruma la but am triying to be reasonable. Erotica lazima ujue hata kama anakukwaza haipunguzi nafasi yake ya yeye kuwa binadamu. so am sorry i didnt mean so

I know u didnt min it darlin. bas tu naumia na huu ugonjwa. assumption yako sio ya kweli,

mie toka nimejiunga pm yangu inagoma kufanya kazi. Nimelalamikwa kwa

Invisible tatizo halitatuliwi. itabidi niwafungulie thread kwa nini mie sipati pm.
 
wewe ilikuwa unaugua bureeee! mbona hata mimi hivo hivo? unaniangusha swt paxie.

Inapasa tupitiwe na tuhoma ili kutafakari upendo tulio beba... It was uninevitable condition unless this solution could pass through before...! awwww..! ma Capr... Cake long lastin' my ...Ticah!
 
Erotica naishi kwa nguvu za Muumba.... sijapata dawa maana hata niliyoelekezwa kuifuata nimeambiwa dukani haipo kwani Kaunga kachukua yote kapeleka store kwake.. mapigo ya moyo yananienda kasi ajabu.....
Natoka jasho huku....! aaah!

Poor Paxman, you got it all wrong. Erotica is my best galfriend as l am to her. N both of has has room for men, so aliyekuibia dawa yako ndio huyu anayezungumzwa!

You know what u should do, ni kumpush huyu anayechukua muda wa Shostito ili weye uoccupy nafasi (mradi tu usiingie kwenye room yangu) ndani ya that sweet heart-shaped heart of Erotica. LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom