huelewi hutaki kuelewa? nasema nikimuuliza anafikiria nini akanijibu
kama wewe, nin kinafuata? nimwambie nin? wewe si ndio uko kunipa ushauri?
au umesahua umenijibu vipi?
But it looks like it was not your weakness a problem....you enjoyed a company of the stranger...and you seem to like enjoying the strangers.
Mikono ina nguvu, mhhhh! Uliionaje ukiwa usingizini? Au mlianza naye gym kwanza
Read his mind first and make a strategy....don't rush into telling him you know...just rush t capture Al Bashir because his head might worth 25mil $ for people in the Hague...
But understand before being understood is crucial in this scenario
Kirusha roho kama unakumbuka vizuri ile ndoto mie nilikua sijitambui nilishangaa
tu najikuta naona raha ya ajabu toka pale ambapo tulikuwa twacheza dance floor.
of coz nili enjoy sana. hio ndio imenijengea weakness?
twende taratibu. naomba weka kwa kikwetu nikupate vema.
hili somo limeeleweka. mwaaaah. tuendelee....................
Msogelee karibu umuelewe ni mtu wa aina gani na anafikiri nini...usikurupuke mara hoo yu know me you know me..befriend him while looking at the best angle to make an attack....Ukishajua mtu yukoje hata timing ya mkakati wako inakuwa rahisi. Hujawahi kuona maprofesa wanawafanyia shopping wapenzi wanafunzi wao huko vyuoni? Wanaenda sokoni wabeba vikapu
Tatizo utanisogeleaje sasa? The unknown stranger!what if i say ni wewe? :A S 12:
teh teh teh. vodfast is gd. hapo hapo mnamaliza kila mmoja anashika zake.
Kwanini ukanywe panadol? Mambo hadharani!teh teh teh. ngoja nikajaribu panado alizosema @Koshosho
au mapapai yaliooza ya @Klorikwini my loya.
teh teh teh. wewe acha tu, nikikwambia utazimia bureee baba wa watu!
Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo.
Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam,
huku nikimkumbuka mwengine kwa utalaamu wake wa kunikuna n.k. Au wakati mwingine
naguswa moyoni hata mara 10 na watu 10 tofauti kwa siku, kutembelewa na watu kama 7 katika
ubongo wangu ama kama 13 rohoni kwangu.
Sasa ya leo kali, nina siku ya 4 namuwaza huyu mmoja tu! Sipendi na wala sijawahi maishani mwangu
kuwaza mtu mmoja, sioni mantiki na naona nikiwaza mmoja wengine nitawapoteza sababu huwa nakuwa
nao na kuwatafuta sababu nao nawawaza. Sasa amekuja huyu kawa kinganganizi ndani ya moyo wangu,
akiwa kama ganda kwenye ubongo wangu na kajenga kivuli cha muonekano wake machoni pangu.
Kila saa ni yeye hapishi wengine. Ananiboa na ananiharibia mood maeneo mengine ya mwili.
Na kubwa kuliko ananiharibia mipango yangu ya kuwa mama wa watoto mapacha.
Uzuri yupo hapa hapa jf kwahio msg sent! Kaka tafadhali nikome!
Kaunga my sweetest I need you now more than ever! wea ar u my love?
Nisaidieni wapendwa katika bwana, ni ugonjwa gani huu? mwenzenu Ero haujawahi nipata!
Dr. Mzizi Mkavu na wengineo msaada plz. Am I sick? Na kama naumwa dawa yake nini?
No mwaaaaah. I think am Sick.:A S cry: