Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
Habari za leo wanaJF,
Ningependa kupewa somo ni jinsi gani ninaweza kuzuia au kulimit bandwidth ya computer moja au zaidi ya moja zilizoko kwenye wireless network ili niweze kubana matumizi..
naomba mnitajie software zitakazoweza kufanya hii kitu. Na ningependa kujua jinsi gani naweza kufanya hii kitu kutoka kwenye computer yangu na siyo nianze kuzungukia hizi computer nyingine ili niziset..
Natanguliza shukrani