umeme ni nguvu ambayo inatoka sehemu moja na kwenda sehemu nyingine (electric current)...ili ufanye kazi unahitaji hasi na chanya......hata binadamu akigusa nyaya bila kugusa ardhi au hewa yenye unyevu mwingi umeme hautakuwa na sehemu ya kwenda, na hivyo hatakufa.
binadamu hugusa nyaya huku wamekanyaga ardhi....na ardhi ni hasi nzuri sana.