Helmeti ya Milioni 900

Helmeti ya Milioni 900

Nyie ndio mnaziaibisha profession za watu. Unajiita engineer kabisa bila aibu. Kusoma hujui na kuona huoni. Kama clip hii tu inakushinda kufuatilia ukweli tena ukiwa ndani ya internet utaweza kufanya kipi kwenye engineering?

Acheni kuwehuka nyie...
Jamaa kajitungia tu habari, amekuta documentary youtube....
Hizo helmet hazina uhusiano na gharama hiyo.....
 
Nakuomba rais wang makufuli niliekupa kura yang naomba ukaze mkanda wanaolia niwapiga dili sisi maisha yako poa sana naamka asubuhi nafanya shughulizang vizur bila tabu nahela napata plz rais endelea kuwabana zaid nazaid
 
Kwenye hiyo youtube wamesema $400,000/= jamaa ndo akaziweka kwa hizi zetu za madafu. Wewe unasema hazina gharama hizo. Hakukuwa na haja ya kusema amejitungia story. Wewe kama hupendezwi unakaa tu kimya. Na sio kumponda mwenzako.
umeongea point mkuu,kiukweli criticism ni hatari sana kwasababu it wounds a person's precious pride
 
Yaani pilot mwenye hii anaona chini on the ground, THROUGH the Plane!!!!
WOW!...just WOW!
 
Ngoja tumalizane kwanza na vyeti feki, magaidi wa kibiti, kusaka uhakiki wa faru john kumlinda mkewe fausta, kulipana visasi, kupatanisha kafu a na kafu b tutafika tu huko kwenye helment za miujiza.
 
Ngoja tumalizane kwanza na vyeti feki, magaidi wa kibiti, kusaka uhakiki wa faru john kumlinda mkewe fausta, kulipana visasi, kupatanisha kafu a na kafu b tutafika tu huko kwenye helment za miujiza.


Hehehe, labda Tanzania ya viwanda ikifika.
 
Back
Top Bottom