Helmeti ya Milioni 900

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,323
4,620
Marubani wanaotumia ndege za kivita za Marekani F-35 stealth fighter watakuwa wakitumia helmet ghali zani duniani.

Kupitia helmet hii, rubani ataona kila kitu cha dunia kinachoonwa na camera za ndege.

Bei ya helmet moja ni dola za Marekani 400,000 sawasawa na milioni 900 za Kitanzania.

040a691e5e11dc00faa79a68d3224fcc.jpg


 
Hii ina uhusiano na hili Jukwaa la Siasa au ndio kule kupost ili kuonekana unajua vitu!!!utoto utoto!!!
 
Wakati wenzetu wakifanya hayo wa kwetu kaamua kuwa dikteta
Ungesema huku kwetu badala ya wabunge kuongelea tanzania kutengeza hizo helmet wanaongelea ɓunge kuonyeshwa live hivi liƙionƴeshwa live hizo helmet zitakuwa zimetengenezwa?
 
Acheni kuwehuka nyie...
Jamaa kajitungia tu habari, amekuta documentary youtube....
Hizo helmet hazina uhusiano na gharama hiyo.....
Kwenye hiyo youtube wamesema $400,000/= jamaa ndo akaziweka kwa hizi zetu za madafu. Wewe unasema hazina gharama hizo. Hakukuwa na haja ya kusema amejitungia story. Wewe kama hupendezwi unakaa tu kimya. Na sio kumponda mwenzako.
 
Nadhani Akili yako Ndipo ilipoishia. Unaweza ihusisha na chochote, Siasa, Dini, Sayansi n.k kutegemea unafikiria kwa upeo na muktadha gani.

Hii ina uhusiano na hili Jukwaa la Siasa au ndio kule kupost ili kuonekana unajua vitu!!!utoto utoto!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom