Hellow wana cc

Jibu litatoka kwangu kwa maana tunashare password

uwiiiiiiii..... kushare password sio inshu,, inshu nani anacontroll password na kuwa na regular access ili awe implemented to have full costudy to own the password forever!!!!
 

aleleee marejesho hongera sana... sasa kwanini Filipo alikuwa anaficha hizi habari..............

haoni sosoliso na Paloma wanayotuweka wazi kila hatua.......... Filipo jr asije fata

tabia za Filipo senior hasa kutaka kukagua kilamtu
 
Last edited by a moderator:
Ndio raha ya huku....mie nikiwa na stress zangu nahamia huu mtaa/.......

halafu acha uchoyo wa like looh...na kuonyesha umeacha uchoyo anza kunigongeamimi

sio uchoyo shoga!!!! natumia cm mwenzio na hainipi option ya ku like......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…