Hellow wana cc

Ujumbe wako murua sana...

 
Last edited by a moderator:
Hivi ulipataga mtu wa kukuzimia taa na kukufunika shuka?
Na wa kukushika mkono mjini. ...teh teh teh!!!

Kwani una mtoto wa kiume ambae hajaoa bado!?? Steve Dii si alishaoa, au unamaanisha nini!?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ulipataga mtu wa kukuzimia taa na kukufunika shuka?
Na wa kukushika mkono mjini. ...teh teh teh!!!

nakwambia ivi ile post ilikuwa kwa my hubby, na id yng anaijua!!! yani ye mwenzangu usiku bize na JF ni vicheko kwenda mbele ukiuliza nini aaah jf bwana. ooooh!!! nilivyochoka sasa nikasema hebu na mie nijichetue huko jf haaaaaaa!!! pm mbona kumejaaaa watu wana dogo humu.................., kuona ivo mbona kajirekebesha vicheko vya jf sa ivi usiku hakuna labda anachekea moyoni????? na penzi limechanua ilo kama kaniona jana yani sa hivi ni mwendo wa kusifiwa tu!!!!!! "ooooh! unajua ur so beatifully and sexy ur eyes drive me cryz"!!! hicho kisura kama cha kiarabu hebu njooo hapa.........." na dar tunaenda wote wakati hata mpango hakuwa nao sijui kadanganya nini huko ofisini kwao!!!.
 

wacha weee....kwa hiyo na wewe unakuja Dar kuja kutazama Mabugando yanapita juu ya maji?

halafu ukifika Dar usiache kuja kupiga picha hapa chini:





Halafu unajua huku Dar kuna TV hadi barabarani...wenzenu huwa tunaangalia video kila siku...
Hivi vijitu viwili unavyoviona hapa chini kulia, kamoja ni kasteringi na kengine hako kanakotembea ni kajambazi kanataka kutoroka


 

Haaaaa!!! mabugando muhimu jaman, ntasimulia nn mie!!!!
 
Karibu sana, ukiwa huku hapo juu huwa tunaandika "nini?" na sio "nn?" Kuwa makini na magumegume wa huku,utawaona tu kwa maandishi yao ya mbwembwe, kama huyo hapo juu aliyechanganya herufi mwambatano na tarakimu..

Mgeni mbona hujamjulisha mambo mawili muhimu:
1. Baba V ndo chaimeni hapa chitchat
2. Bishanga ndo mwanaume single peke yake hapa chitchat na anatamani kupata mwenza.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…