Hellow wana Arusha ndio Nimehamia...

Mambo vipi wapendwa baada ya kimya kingi nimerudi tena safari hii nimeibukua huku mji wa kitalaii Arusha,kwaherini wapendwa wangu wa Dar Es Salaam hasa baba yangu@Mtambuzi tutaonana nikija kutembea,hope wadau wa Arusha you will be there for me.
karibu arachuga....karibu CLUB D MOSHONO
 
Duuuh_Cantal.........longtime no see you....karibu sana Arusha.
 
Sijui nilikuwa wapi sijauona uzi huu. Cantalisia karibu sana! Member wengine wenye uraia wa hapa na kwao (dual citizens) ni Jiwe Linaloishi, Kaizer na babako Mtambuzi.

PakaJimmy, Mzee wa Rula, Preta Filipo Erickb52 et al mkaribisheni mgeni.

Asante sana Arushaone najua jana ulikua bize na besidai ndio maana hata hujaona hili bandiko langu.

Nawasubiri wenyeji wanikaribishe,nataka tu shemeji yangu Erickb52 aniandalie mdundiko niserebuke maana hii baridi uwiiii!
 
Last edited by a moderator:
Duuuh_Cantal.........longtime no see you....karibu sana Arusha.
IgweeeEEEEEEEEEEEEEE !!
Asante sn swaiba nilitingwa na mambo ndio maana nikapotea but now am back moja kwa moja utaniona humu daily!
 
Last edited by a moderator:
Duuuh_Cantal.........longtime no see you....karibu sana Arusha.
IgweeeEEEEEEEEEEEEEE !!
Asante sn swaiba nilitingwa na mambo ndio maana nikapotea but now am back moja kwa moja utaniona humu daily!
 
Last edited by a moderator:
karibu arachuga....karibu CLUB D MOSHONO
B'REAL swaiba asante sn hope ndio hiyo nimeambiwa iko vizuri naplan kwenda hapo weekend hii nikafute tongotongo lol!
 
Last edited by a moderator:
B'REAL swaiba asante sn hope ndio hiyo nimeambiwa iko vizuri naplan kwenda hapo weekend hii nikafute tongotongo lol!
yeah iko poa sana tu...hakika utaipenda,ukifika njo casino utanikuta kamaria niko pale ukiona rasterman jua ndo mimii
 
IgweeeEEEEEEEEEEEEEE !!
Asante sn swaiba nilitingwa na mambo ndio maana nikapotea but now am back moja kwa moja utaniona humu daily!

Thats good then,...ngoja nikutafute tukale mbuzi choma kwa mromboo,..sema umefikia wapi hapa arusha.
 
Asante sana Arushaone najua jana ulikua bize na besidai ndio maana hata hujaona hili bandiko langu.

Nawasubiri wenyeji wanikaribishe,nataka tu shemeji yangu Erickb52 aniandalie mdundiko niserebuke maana hii baridi uwiiii!

Ngoja ukimalizana na Erick52,...ntakupeleka na mimi mitaa ya kati hapo.
 
IGWE sijaujua huu mtaa vizuri kwa jina usijali ngoja niongee na jirana yangu then ntakuji lol!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…