Silvano
Member
- Jan 7, 2010
- 27
- 0
Hi mates naitwa Silvano kutoka Dar es salaam mnaweza kuniita Chichi. Sio mgeni katika forum hii ila sijapost any comment this is ma first time. Niko kwenye site nyingi sana nategemea kupata ushirikiano kutoka kwenu ndugu zangu wanajamii. Kila la kheri tulisongeshe gurudumu.