Hellow JF

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
Mambo wadau mimi mgeni nataka kadarasa kadogo dogo kujua kutumia jf au mtu anitag kwenye Uzi wa Kujifunza kutumia JF nawaslimu kwa jina la Alie Juu.
 
Mambo wadau mimi mgeni nataka kadarasa kadogo dogo kujua kutumia jf au mtu anitag kwenye Uzi wa Kujifunza kutumia JF nawaslimu kwa jina la Alie Juu.
Lete ushahidi kuwa huko juu kuna huyo unaemsema!
 
Wewe sio mgeni ila ni mvivu.

Screenshot_2017-01-30-21-29-13.png
 
Hahahah
Jamaa ana penda ugeni sana uyu
Wakati mkongwe kabsaa
Hahahahaha ujue naangalia Plofile za wengine na mimi najiona mpya tu maana watu wana trophy shazi tu ila mimi ndio 5 alafu ukilinganisha sijui baadhi ya vitu so ukisoma uzi vizuri nataka namna ya kutumia jf bila kuvunja sheria k vizizuri
 
Back
Top Bottom