Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,553 Dec 15, 2012 #241 Mkuu, hii thread ni ya mwaka jana na picha zipo nadhani page ya sita! Check vzuri. . Jiwe Linaloishi said: mbona hata picha hamrushi isije kuwa mko hapo Kibo Palace mnalamba maji huku mnaturusha roho.. mnaingia tarangire si unajua wote wajanja wewe una jina langu 'paka' mimi nina sura yako ' avantar' Click to expand...
Mkuu, hii thread ni ya mwaka jana na picha zipo nadhani page ya sita! Check vzuri. . Jiwe Linaloishi said: mbona hata picha hamrushi isije kuwa mko hapo Kibo Palace mnalamba maji huku mnaturusha roho.. mnaingia tarangire si unajua wote wajanja wewe una jina langu 'paka' mimi nina sura yako ' avantar' Click to expand...
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,736 Reaction score 2,139 Dec 15, 2012 #242 Filipo said: Mkuu, hii thread ni ya mwaka jana na picha zipo nadhani page ya sita! Check vzuri. . Click to expand... nimekupata mkuu
Filipo said: Mkuu, hii thread ni ya mwaka jana na picha zipo nadhani page ya sita! Check vzuri. . Click to expand... nimekupata mkuu
Ms Judith JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 2,563 Reaction score 932 Dec 17, 2012 #243 Filipo said: Huyu sijui kama anakumbuka ahadi? Click to expand... hahaha, kwa kweli nilishasahau mpendwa. asante kwa kunikumbusha. vipi hao mambo ya tarangire ni lini tena? ubarikiwe sana! PakaJimmy said: Umemwibulia wapi huyu mtu? Nakumbuka enzi za Loliondo nilipambana nae mno! Enzi hizo Filipo yuko kwao Singida anashinda machungani. Click to expand... haha, za siku nyingi mpendwa PJ? ubarikiwe mpendwa, Glory to God!
Filipo said: Huyu sijui kama anakumbuka ahadi? Click to expand... hahaha, kwa kweli nilishasahau mpendwa. asante kwa kunikumbusha. vipi hao mambo ya tarangire ni lini tena? ubarikiwe sana! PakaJimmy said: Umemwibulia wapi huyu mtu? Nakumbuka enzi za Loliondo nilipambana nae mno! Enzi hizo Filipo yuko kwao Singida anashinda machungani. Click to expand... haha, za siku nyingi mpendwa PJ? ubarikiwe mpendwa, Glory to God!
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,553 Dec 17, 2012 #244 Ms Judith said: hahaha, kwa kweli nilishasahau mpendwa. asante kwa kunikumbusha. vipi hao mambo ya tarangire ni lini tena? ubarikiwe sana! haha, za siku nyingi mpendwa PJ? ubarikiwe mpendwa, Glory to God! Click to expand... This time mambo iko Tanga na siku ni tr 28 hadi 30. Gharama ni 100,000 kwa wanaotokea Arusha. Wa Dar wanawasiliana na Madame B! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ms Judith said: hahaha, kwa kweli nilishasahau mpendwa. asante kwa kunikumbusha. vipi hao mambo ya tarangire ni lini tena? ubarikiwe sana! haha, za siku nyingi mpendwa PJ? ubarikiwe mpendwa, Glory to God! Click to expand... This time mambo iko Tanga na siku ni tr 28 hadi 30. Gharama ni 100,000 kwa wanaotokea Arusha. Wa Dar wanawasiliana na Madame B!