Hellow Jamii forum members!

Da Pretty

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
3,059
1,148
Habari zenu mliomo.
Mimi ni mgeni hapa na nategemea kupata ushirikiano toka kwenu nami nitashiriki niwezavyo mada zitakazonigusa kwa maendeleo ya wote.
Na leo ninahitaji mchango wenu kwa mada nitakayoweka hapa muda mfupi ujao!
Pretty(jina langu la Kweli na nilipenda kulitumia kama lilivyo,samahani kwa alietangulia)
 

karib sana, naitwa klorokwini almaaruf celebriti wa JF. ukipokea PM mbazo zinakusumbua usisite kunijulisha.
 
karib sana, naitwa klorokwini almaaruf celebriti wa JF. ukipokea PM mbazo zinakusumbua usisite kunijulisha.

karibu sn pretty. hili jina mnalipenda sn akina dada.
Wewe Cq, sasa si umjuze maana ya PM mgeni wetu?
 
mkuu. Nitamjuza kupitia PM. Sometime we dont dare to talk openly

utam2mia PM juu ya PM dah sounds complicated 2 our new member dont u think,hahahah!Anyway i'm GOOD GUY the techie in JF.napatikana sana pale J.I ,T&S and J&G.
pa1 bby,cheers
 

Hi Da Pretty

Mini ni Mabel, kijana mtanasharti asiye na makuu mpenda wote na sifa yangu kubwa ni kuwapa hifadhi na matumaini wale wote waliovunjika mioyo na kukata tamaa na hatimae kuiona nuru.

Karibu sana JF, JF ni sisi, na sisi ni watu, na watu wenyewe ni mimi, wewe na yule.
 
Umeshawahi kuwa na bwana......??? Umezaa...........???
 
Umeshawahi kuwa na bwana......??? Umezaa...........???

mweeee....haya yote ya nini....kweli nyie ndio huwa mnafukuza wageni......karibu sana mwaya shostito da pretty........lakini kuna pretty mwingine....hii mbona itatukomfyukosikonzi
 

Mh unajipigia debe
mwache ajichagulie mwenyewe
Karibu pretty wana JF wapole utajifunza kwao na watajifunza kwako pia
 

nimeipenda hii,

anyway...karibu saana Da Pretty
 
Karibu Da Pretty. Ila jiepushe na MAFISI! Kwani kazi yao ni kula chochote kilicho mbele yao. Karibu mahala ambako utauchangamsha ubongo wako.
 
Ahsanteni, ilikua nzuri sana kusoma post zenu wadau. Nimefurahi...
Aliyeuliza kama nina bwana au mtoto swali lake limenifurahisha ila kwa sasa sihitaji. Mabel, klorokwini Ahsanteni,
Preta,ndio maana nikasema sorry kwa alietangulia.
Jamani Pretty ndio jina langu la kupigia kura wapendwa.
Tupo pamoja...
 

Unakaribishwa kwa mara nyingine tena, kujibu maswali pia ni mhimu ili kufahamiana zaidi na kuweka miiko panapostahili
 

karib sana jamvini tule bata kwa mawazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…