Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
Karibu sana......Zenji sehemu gani? Mchambawima au Kibanda maiti?[Hahahaaaa, wewe unapajua Mchambawima na kibanda maiti tu enhe? Kwangu kunaitwa Kilimani]
Senetor chama changu siri yangu, ila ni against chama tawala. Lkn yamehs nn hayo mbona wantisha?
Comments zako zinaonyesha wewe ni mkongwe hapa! karibu kwa hii id mpya lakini!Senetor chama changu siri yangu, ila ni against chama tawala. Lkn yamehs nn hayo mbona wantisha?