E Eliza Mng'anya New Member Oct 19, 2011 2 0 Apr 20, 2012 #1 habari wapendwa ndani ya jamii forum,natafuta mwenyeji ili nijue nn cha kufanya humu ndani ya greater thinkers.thanx
habari wapendwa ndani ya jamii forum,natafuta mwenyeji ili nijue nn cha kufanya humu ndani ya greater thinkers.thanx
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Apr 20, 2012 #2 Eliza umenipata.... Karibu sana.... Naitwa Erickb52....waweza uliza lolote hata kwa PM ruksa
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,442 25,587 Apr 24, 2012 #5 Haya changamka ingia ndani. Nenda hapo kwenye friji ujichagulie kinywaji roho inapenda.