The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,587
Hi I'm a new member please I need your support
Katika hili kweli unahitaji ushirikiano wa kutosha. Anyway yupo Nivea, Paloma, MwaJ wakipita hapa utapata ushirikiano wa kutosha tu.HIi am a new member plz i need youre cooparation
Shem.
Mkaribishe mgeni.
Karibu sana JF...
Hehehe...mbona nshamkaribisha mie...hujambo weye
Anataka umpakate kabisa!
Hehehe...mbona nshamkaribisha mie...hujambo weye
Mie sijambo kbs shem.
I will support you, don't worry. I will buy a house for you in Oyster Bay, and also I will purchase a new Range Rover to make you swift easilyHi I'm a new member please I need your support
Hao miamba wa kike mbona wameadimika humu au ndoa zimewabanaKatika hili kweli unahitaji ushirikiano wa kutosha. Anyway yupo Nivea, Paloma, MwaJ wakipita hapa utapata ushirikiano wa kutosha tu.