My dear
mimisa....naongelea tu ninachokiona,,,,sio kwamba nakuchukia maana hakuna shemeu nimesema nakuchukia...wala sijakuchokonoa...i have my own way ya kuchokonoa, sio hii
mimisa....
so get easy and lets move foward huenda macho yangu yana matege shauri ya uzee. Karibu. Unaenda white party? (usiandike tena kwa herufi kubwa, inaonekana kama unashout and that aint good for you)