Hello!

Asante sn...ukweli ni kua uwa naingia umu mara kwa mara kuangalia nyuzi na coments za hapa na pale ..leo ndo nikaamua tu nijiunge..CC uwa ni my stress free zone pia..ktk pitapita niliona uyo ndugu mnamref: kwa jinsia ya ME...(KAMA NIMEKOSEA ANISAMEHE)...ndo maana nikasema bro
 
asante sn..we mtu wa kwanza kunikaribisha umu..wengne wamenipa makavu adi nikajutia kuingia umu..tnx much bro.

Usijali, bado nakumbuka ID yako nilikukaribisha kule Utambulisho kipindi cha nyuma...ila hujaniambia kama utakuja White Party, want you there mkuu
 

haya mimisa karibu sana
 
Last edited by a moderator:
asante sn..we mtu wa kwanza kunikaribisha umu..wengne wamenipa makavu adi nikajutia kuingia umu..tnx much bro.

... Inaoneka wewe ni mwenyeji sana' mpaka unajua kuwa huyo ni ME (bro.) Lakini Hongera umekaribishwa: Onyo! nawewe usiende kuwavulaga wangu CC, maana kila siku wanachokozana*2' ugonvi hauishi' ninakuomba uwe mtoto mzuri; sawa eh?
 
asante sana....asante mnoooo
 
asante sn.. Rich woman
 
Huyu mimisa mbona wa April mwaka jana leo anabisha hodi au kuna kitu sielewi?
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana, je wewe ni KE au ME ??
 
asante...sana..white party ni lini,wapi,na inakuaje
Usijali, bado nakumbuka ID yako nilikukaribisha kule Utambulisho kipindi cha nyuma...ila hujaniambia kama utakuja White Party, want you there mkuu
 
nitafuata ushauri wako..Mungu anisaidie...
 
sijakuelewa mpendwa..ndo nini ivo?
 
leo ndo nimejiunga jf..b4 nilikua nafungua naangalia threads na comments tu...april mwaka jana?..sikua ata naifahamu cc
Huyu mimisa mbona wa April mwaka jana leo anabisha hodi au kuna kitu sielewi?
 
asante...sana..white party ni lini,wapi,na inakuaje

Siku: 26/01/2013
Muda: 17:00 magharibi
Mahali: Kebby's Hotel iliyopo Bagamoyo Road, karibu kabisa na Traffic lights za Bamaga (Startimes HQ), Dar es Salaam-Tanzania
Mchango: 20,000/=
Mengineyo: Hakikisha unavaa vazi jeupe ili kuleta maana halisi ya neno White Party.
Mwisho wa kutuma mchango wako ni tar 24/01/2013, mchango wako uwakilishe kwa bro Mtambuzi kupitia Tigopesa(0715729292).
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa..asante.
 
leo ndo nimejiunga jf..b4 nilikua nafungua naangalia threads na comments tu...april mwaka jana?..sikua ata naifahamu cc

Join Date : 5th April 2012

Posts : 22
Rep Power : 346
Likes Received3

Likes Given6

Labda kalenda ya JF ina matege....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…