Hello

Moge

New Member
May 5, 2011
2
0
Hell broth and sister, je mambo gan waschana huvutiwa kwa mvulana? Na ni lazma kusoundisha ili upate partena? Naomba msaada wenu
 
Msaada umeshapata, kuwa na subira. Utapewa ushauri kibao humu JAMVINI ila cha muhimu ni AKILI KU MKICHWA.
Mlango ukifunguliwa kazi kwako kuingia ama kubaki mlangoni.
Karibu sana jamvini.
 
Hell broth and sister, je mambo gan waschana huvutiwa kwa mvulana? Na ni lazma kusoundisha ili upate partena? Naomba msaada wenu

I wonder..kijana anahitaji msaada watu maneno meeengi, pengine na yeye anapenda utamu...! mjuzeni kabla hajajua mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom