Hello!

Ngatele

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
809
Reaction score
706
Hodi wana Jamii, naomba mnipokee katika jamii yenu.
 
c ushakaribia kingine wataka nini kahawa au kashata?
 
karibu! usisahau michango motomoto iliyokwenda shule!
 
Isaga loli ungakatalaga nkamu,.......
 
karib sana. ukigombana na wife/husband wako jitahidi usisahau paswedi yako ya JF, kwani JF ina act kama spare patner kwenye matatizo ya familia na upweke. wiselady na katavi watathibitisha hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…