Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,952
Ani siku hizi uko busy hadi sio vizuriMic u mo bebe wangu! I do really miss u ma lovely Wife..... Sikuonekana huku ila nilipokuja tu nimetabasamu kwa kukuta umenimiss.
Ani siku hizi uko busy hadi sio vizuriMic u mo bebe wangu! I do really miss u ma lovely Wife..... Sikuonekana huku ila nilipokuja tu nimetabasamu kwa kukuta umenimiss.
Ani siku hizi uko busy hadi sio vizuri
Nakupenda pia[emoji9][emoji9]kazi njema.Kweli mke,si unajua tena mwisho na mwanzo wa mwaka? Hesabu zinahitajika kufungwa na mambo mengine yapangwe vema kwa ajili ya mwaka unaofuata. Nakupenda sana mke.