hello wandugu

sharobaby

Member
Apr 8, 2011
69
10
wandugu am new here so need your support na michango yenu kwa sana ili tuelimike

wanajamii nawapenda sana
A%20S-heart-2.gif
 
Karibu sana Sharobaro....oooh shiiit sorry!...Sharobaby!
 
Karibu sana mkuu. Humu ndani ni addiction ya aina yake. Maana kuingia ni rahisi kutoka sasa mpaka upegwe ban. Lasivyo hatoki mtu hapa.
 
Karibu sana jamvini....Hivi karibuni nilimuuliza mtu kuhusu opposite ya sharobaro naye akaniambia ni Sharoberry kumbe hata Sharobaby inatumika pia. Karibu sana jamvini jisikie uko nyumbani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom