Hello wanajamii!

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Niaje wana jamii? nimekuwa muda mrefu sana nikipita na kusoma comments za wadau mbalimbali bila kuchangia chochote,hongereni sana kwa mawazo yenu na ushauri mnaowapatia members wengine.

kilichonisukuma leo kuandika ni huyo mdada anaetaka kumbwaga mchumba wake aliyemsomesha hadi chuo kikuu kwa madai eti ni mshamba na hana degree kama yeye halafu anadai eti ni freemason jaman? na anadai amempata msomi mwenzie wanayependana kwa kweli it's so sad wajameni?

mtu aliyekutoa ushamba kwa kukupeleka shule ukasome na wewe uonekane mtu leo unamwita mshamba na freemasons, kweli kama kuna wadada wenye roho mbaya na ukatili kiasi hicho waache kwani ni dhambi jamii haipendi hata mungu hapendi!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu mkaka anaetaka kumwagwa hakua na ndugu wakuwasomesha mpaka amsomeshe mchuchu wake? na alipokua akimsomesha kwani waliandikiana kua lazima amuoe au ana khiyari yake ya kukubali au kukataa kuolewa na huyo bwana?
fanya wema wendezako kama ameshamsomesha basi malipo yake atayapata kwa mungu sio kwa binadamu....
 

hahaha mlikuwa hamjui kuwa wanawake wabaya haya sasa. ndio maana mie nawagegeda na kusepa. sio wakuwaweka ndani hawa
 

ungeandika maoni haya pale kwenye ile thread ingekuwa poa sana.
 

Wadada hawatabiriki... hii inaonesha kua huruma za wada hazitabiriki..smtyms naona mna apply huruma sehemu zisizostahili, sasa kama mtu anapewa chipsi kuku anaachia mzigo alaf huyu kamsomesha anaambulia majonzi??? duu.. Huyu dada anakosea kwa sababu iyo sio tabia ya huruma ya wadada... ndio najua mnapenda pia ila mnahuruma pia.. me nawish huruma yake imuongoze katika hili....
 
nimekupata Nicas ila nadhani mdada kaniboa sana!kweli kabisa bora umfadhili mbuzi utakunywa mchuzi binadamu ana makuzi!!!!!!!
 
toka asubuhi nina hasira sana ile thread imeniharibia siku hadi bossi wangu kaniuliza ''are u ok?''
 
hahahaaaa! MKINDE ameboa watu
na akuje ajibu coz hajaonekana tena alaaaa!
inauma kwa kweli!

 
Last edited by a moderator:
nimekupata Nicas ila nadhani mdada kaniboa sana!kweli kabisa bora umfadhili mbuzi utakunywa mchuzi binadamu ana makuzi!!!!!!!

Dunia ina watu wa ajabu sana......karibu sana jamvini missa. Wewe ni jinsia gani?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…