Hello wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hello wana JF

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Kajuni, May 27, 2009.

 1. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Dear all,

  Kwa heshima na tahadhima napenda kuchukua fursa hii adimu kuwasalimieni wote wana JF.
  Ni ukweli usiopingika kwamba njii hii ya mawasiliano inatupatia fursa ya kuweza kupata mitazamo mbali mbali kuhusiana na jamii inayo tuzunguka.
  Ama kwa hakika najisikia vizuri kuwa miongoni mwa wana jamii na nategemea kuongeza chachu zaidi katika mada mbali mbali.

  Okay wadau sina mengi.....one important message. "You never get a second chance to a make a good first impression".

  Best regards,

  K mkubwa.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Karibu sana jamvini, jisikie uko nyumbani mkuu.
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Karibia mkuu...tupe hayo mamichango yako!
   
 4. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Wellcome on board Kajuni aka Mkubwa. Tunataraji makubwa kutoka kwako.
   
Loading...