hello wana JF

Kimbita

New Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
4
Reaction score
0
nafikiri ni wakati muafaka wa kuungana na wanajamii baada ya safari ndefu na ngumu ya uchhaguzi ulopita. nasisitiza ccm ni mshindi hata kama tulichakachua hao waliochakachuliwa walikuwa wapi?
 
Kama wewe ni fuya kimbita uliekosa ubunge hai,na kwa post yako hii inadhihirisha bila shaka kuwa wanahai walikuwa sahihi kukunyima ubunge,,huwezi sema eti hata kama tulichakachuwa waliochakachuliwa walikuwa wapi,maana yake ni moja tu,unabariki uchakachuaji ambao ni kinyume cha sheria..
 
Mmmh! Karibu sana, Majimoto anakusubiri jukwaa la siasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…