Dilunga, iyo mambo ya kukimbia nchi yangu is number one criticism (laana?) la kazi yangu. Lakini hiyo si kweli kabisa...
Kwanza kabisa, awali ya yote, usiseme kwamba hujakimbia maana ni kweli umekimbia na wewe mwenyewe umekubali kwamba umekimbia, you're contradicting yourself by denying that you did run away at the beginning of your comment even as you admit the same later on, so let's be perfectly clear on that, you did run away.
Hata hivyo, nashukuru sana, sana, kwamba umekubali kwamba kukimbia kumekundolea kiwango fulani cha heshima na kwamba kimekufanya uonekane mwoga, tukiacha pembeni hayo ya mafanikio ya kazi yako ukiwa nje. Ninakusifu sana sana kwa kukubali hilo maana wewe ni mtu wa kwanza hapa jamvini kusikia anasema hivyo. Hakuna hata mmoja, not a single soul in this forum of over a few thousand members. You are demonstrating incredible candor by conceding that to be known as a runaway activist is a concerning criticism, "a curse" as you put it. And I think it's true, any way you cut it. And by my estimation, not less than half the members here are diasporic, but you would be hard pressed to find a soul to concede that to be labeled as an absentee activist is not very honorific or ballsy. Oh yeah, they keep records here, and if I'm lying to you someone will dredge up something from the record, and I would like to see a single one, among a gazillion posts ever made here, where one admits " Oh yeah, I'm a Tanzanian living in the UK and I think it's not the most courageous thing to be sitting here lambasting leaders and governments back home while I ran away from the same." So, I gotta tip my hat to you there, at least for admitting that, for specifically recognizing the valiant efforts of those who remained in Uganda bracing the brutal juntas, the Yoweri Museveni's of the world.
Lakini, najua umesema kwamba una ufanisi zaidi kwa kuwa nje ya Uganda kuliko ndani. Well, sijui. Nitakuwa mjinga nikibisha, lakini la muhimu nadhani ni kwamba kazi inafanyika. Hongera sana, sana, kaza uzi. (You mentioned that you are more effective working from outside Uganda, and you must be the better judge of that than I can be, but suffice is to say, work is ongoing nonetheless. And that's extremely positive. So now I know that you have not just been sitting there basking in South Florida exquisite weather, not wanting anything to do with Uganda and East Africa.
Sasa huyu Yoweri Kaguta Museveni ni nini hasa kimembadilisha mpaka akawa power addict kihivyo? Na ni kwa nini baadhi ya Waganda wanampenda? Unakumbuka siku alipoja madarakani? Ulifurahi? He came on the throne as a break from the past rule of criminals against humanity in Obote and Amin. What changed him? And why is he supported by many? I know he is a fraud, and hangs on to power by undemocratic chicanery but he's gotta have some significant support, I mean how can one steal all 60% of the vote? Some how 40% to 50% gotta love him.
Samahani kwa maelezo marefu, lakini nimerudia rudia mara mbili mbili ili uelewe. Unakumbukua tulikubaliana "kipaumbele cha kwanza"?