Hello Tanzania

Hello Tanzania

haha haaa Palantir.....basiii bwana kama yule demu ndiye anasababisha mpaka unifanyie fitina kaisi hiki ""basiii mie nime kuachia mkuu"" mchukue tu""
maana naona kila mtu anasadiki maneno yako yakupika"" bila shaka utakuwa kwenye kitengo nyeti cha propanda na kina Cyprian musiba....""
Avatar mok huyu mtu tunajuana wenyewe sio yeye bana nilikuwa nataka mchangamsha tu!.. Huyo dogo aliyetuma mapicha hata simjui [emoji2]
 
hahaa kwakuwa nimesema kuwa na kuachia yule manzi "" ndio umeamua kunisafisha...looooh.salaaale ama kweli papuchi ina nguvu zaidi ya punch za mike tyson
 
haahaa "" mkuu usimsikileze palantir"" wajua kunauzi mwembamba sana unaotofautisha level ya genius na chizi"" .....huyo palantir anaudhaifu wa kuwa na akili nyingi sana"" so kuna wakati akili yake inasogea karibu na huo mstari"" inapotokea hivyo"" basiii matokeo yake ndio huwa kama hivi
Ohoooo me nina akili ya kuvukia barabara tu lakini [emoji23][emoji23]
 
Nimejikuta nacheka sana hadi kuamua kukagua profile yako nimwone shemejii [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maskini kumbe anakusingizia
hearly mutu ya watu bana, utani anaopokea mwingine angekuwa na ban humu daily.[emoji2]
 
Ohoooo me nina akili ya kuvukia barabara tu lakini [emoji23][emoji23]
hahaa "" hizo alizichukua zote Jingalao"" wewe huwezi kuwa nazo maana hakudiriki kuziacha hata kwa matumizi ya akiba
 
hahaa kwakuwa nimesema kuwa na kuachia yule manzi "" ndio umeamua kunisafisha...looooh.salaaale ama kweli papuchi ina nguvu zaidi ya punch za mike tyson
hahahh umeamua kunichafua sasa!?.. Me na tabia za Mtoto Iddy wapi na wapi!?.
 
hearly mutu ya watu bana, utani anaopokea mwingine angekuwa na ban humu daily.[emoji2]
hahaa kama huwa unasikiaga ule msemo unaosema kuwa "" kabla sijazaliwa wanasema"" basi wale watu wenye sifa ya kusema mpaka mimba "" wanapatikana Humu jf "" sasa ukisema kuwa ukasirike utawakasirikia wangapi "" tabia hiyo anaimudu jiwe peke yake "" mimi imenishinda kimo
 
hahahh umeamua kunichafua sasa!?.. Me na tabia za Mtoto Iddy wapi na wapi!?.
kumbe umeshaiacha"" sasa siungenipa taarifa mkuu"" ili nisitoe siri ya kambi " au kuna manzi una mkula nini Humu " so waogopa kuwa atakuona mzinzi"" maana huchelewi kumwambia kuwa hujaoa "" wakati Dada yangu umesha mtelekeza na mimba juu""
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja kwanza anijibu
hahaaa ..mbona keshatoka mbio " ameshindwa kuendana na kasi ya majibu ya wadau ""
 
kumbe umeshaiacha"" sasa siungenipa taarifa mkuu"" ili nisitoe siri ya kambi " au kuna manzi una mkula nini Humu " so waogopa kuwa atakuona mzinzi"" maana huchelewi kumwambia kuwa hujaoa "" wakati Dada yangu umesha mtelekeza na mimba juu""
Mimi nani nibishane na server ya JF wewe!.. Nipo nakufa na tai shingoni tu hapa dada yako hataki hata kunitafuta!.
 
hahaaa...kwa hiyo server ya JF ndiye mimi "" Dada yangu anapnda vijana wa type ya mtoa Uzi "" sasa wewe kichwa chako kimejaza riwaya za da Vince codes ....unadhani utapata wapi nafasi ya kumjadili wema sepetu ..diamond" na hamisa mobeto "" na yeye hzo ndio habari anazotaka kuzisikia""
hataki kupasuka kichwa kwakuanza kufuatilia habari za kina Leonard da Vince sijui" bunge la ulaya na habari za kina Teresa may"" Mara sijui CERN wanafnya tafiti za kumfanya binaadamu awe na uwezo wa kusafiri kwa kasi ya mwanga"" yaani unakwenda Pluto " ukirudi duniani unakuwa bado upo kijana lakini watu uliowaacha unawakuta wakiwa wamesha zeeka au wengine kufa kabisa....hahaaa ukimwambia habari kama hizo lazima aanze kukuona kuwa umeanza kudata "" lazima akwambie kuwa umechanganyikiwa....hahaa ndio maana hata kina Nicola Tesla waliamua kuishi maisha ya useja tu walikuwa wanaogopa kadhia kama hii nayo" kwambia""
wajua ukiwa na akili nyingi sana waweza kwenda kungonoka na demu badala ya kufnya kilicho kupeleka unaanza kujikuta watakuifanyia papuchi yake utafiti""utataka kujua Yale Maji kwanin huwa hayakauki kwenye kisima"" lazima mtashindwana tu""
 
hahaaa...kwa hiyo server ya JF ndiye mimi "" Dada yangu anapnda vijana wa type ya mtoa Uzi "" sasa wewe kichwa chako kimejaza riwaya za da Vince codes ....unadhani utapata wapi nafasi ya kumjadili wema sepetu ..diamond" na hamisa mobeto "" na yeye hzo ndio habari anazotaka kuzisikia""

wajua ukiwa na akili nyingi sana waweza kwenda kungonoka na demu badala ya kufnya kilicho kupeleka unaanza kujikuta watakuifanyia papuchi yake utafiti""utataka kujua Yale Maji kwanin huwa hayakauki kwenye kisima"" lazima mtashindwana tu""
Hahahah tutapiga umbea wa kina da vinci huo huo na wao si walikuaga na skendo za chinichini bana!.. Halafu akinifundisha tumia snapchat na Insta aniunge kote!!..
Ila hilo la mwishoo, nina maswali fulani hivi ya kumuuliza maswali ya utafiti yapo tayari bado kuuliza tu!. Nikimuuliza asiwe na aibu tu[emoji23]
 
ha haaa...ama kweli ""Umetekwa ""
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom