mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,288
- 6,191
Palantir kumbe umenidanganya nilijua jamaa ndo kaja Kwa ID mpya kuficha aibukwahiyo mkuu unamuamini kabisaa...palantir"" naanzaje kuwa zwazwa wa hicho kiwango"" cha Kipepe
Palantir kumbe umenidanganya nilijua jamaa ndo kaja Kwa ID mpya kuficha aibukwahiyo mkuu unamuamini kabisaa...palantir"" naanzaje kuwa zwazwa wa hicho kiwango"" cha Kipepe
shemeji yako mzima lakini maana ulimpigia promo sana humu jf
mkuu nikajuaga ulipigwa ban ya maaisha maana uliamishiaga picha zako za fb humu jf
Huyo baada ya kuona kasemwa akabadili jina, anabisha muulize ilikuaje wiki kama 2 nyuma alikuwa na ban!.Palantir kumbe umenidanganya nilijua jamaa ndo kaja Kwa ID mpya kuficha aibu
Endelea kutuletea picha za shemeji basi!!...Au twende kwenye jukwaa la kamati!?.hahaha achana nae huyo ...MZee wa totoz
hahaaa mkuu"" hii project yako haina tofauti na zile project za bashite "" muda simrefu utasema mie ni mtoto"" wa lowasaHuyo baada ya kuona kasemwa akabadili jina, anabisha muulize ilikuaje wiki kama 2 nyuma alikuwa na ban!.
Sababu walimponda sana akavumilia yakamshinda akaanza taja viungo vya mwili humu ndani! [emoji2]
malizana kwanza na mdogo ako!..katumapicha halafu kaPotea! 😀hahaaa mkuu"" hii project yako haina tofauti na zile project za bashite "" muda simrefu utasema mie ni mtoto"" wa lowasa
hahaa amepotea "" kwa sababu amekutana na majibu"" ya watu waliovurugwa Humu"" majibu ya watu wa Jf yanaweza kukufanya uhisi njaamalizana kwanza na mdogo ako!..katumapicha halafu kaPotea! 😀
Huyu atakuwa ni mwenyeji wa pale buguruni kwenye biashara isiyo na VATkaribu.
kimboka maana yake nini?
Raia wanamafile yako... Ni kweli ulifanya hivyo mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaa aisee...."""
Raia wanamafile yako... Ni kweli ulifanya hivyo mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaa aisee...."""
haha haaa Palantir.....basiii bwana kama yule demu ndiye anasababisha mpaka unifanyie fitina kaisi hiki ""basiii mie nime kuachia mkuu"" mchukue tu""Hahahaha hearly
haahaa "" mkuu usimsikileze palantir"" wajua kunauzi mwembamba sana unaotofautisha level ya genius na chizi"" .....huyo palantir anaudhaifu wa kuwa na akili nyingi sana"" so kuna wakati akili yake inasogea karibu na huo mstari"" inapotokea hivyo"" basiii matokeo yake ndio huwa kama hiviRaia wanamafile yako... Ni kweli ulifanya hivyo mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haha haaa Palantir.....basiii bwana kama yule demu ndiye anasababisha mpaka unifanyie fitina kaisi hiki ""basiii mie nime kuachia mkuu"" mchukue tu""
maana naona kila mtu anasadiki maneno yako yakupika"" bila shaka utakuwa kwenye kitengo nyeti cha propanda na kina Cyprian musiba....""
Nimejikuta nacheka sana hadi kuamua kukagua profile yako nimwone shemejii [emoji23] [emoji23] [emoji23]haahaa "" mkuu usimsikileze palantir"" wajua kunauzi mwembamba sana unaotofautisha level ya genius na chizi"" .....huyo palantir anaudhaifu wa kuwa na akili nyingi sana"" so kuna wakati akili yake inasogea karibu na huo mstari"" inapotokea hivyo"" basiii matokeo yake ndio huwa kama hivi
hahaa chief"" kwani raia wa Humu "" hauwajui" au?Nimejikuta nacheka sana hadi kuamua kukagua profile yako nimwone shemejii [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maskini kumbe anakusingizia
[emoji23][emoji23] 😀😀hahaa amepotea "" kwa sababu amekutana na majibu"" ya watu waliovurugwa Humu"" majibu ya watu wa Jf yanaweza kukufanya uhisi njaa