Hello people!!!

Hello people!!!

Eliza wa Tegeta

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
251
Reaction score
108
Nimekuja rasmi..............mkinipokea itakuwa sawia, msiponipokea basi nyie sio waungwana!!!
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
 
Karibu sana Eliza wa Tegeta, mimi naitwa Katavi ni mpokea wageni hapa jamvini. Naomba nikupokee mzigo, wengine watakuonyesha mitaa ya humu ndani.
 
Tegeta mtaa gani?

Karibu BM bar kaunta ya ndani.

Au tukutane Tongori pale au Zero Pub.
 
Karibu, tumekupokea kwa mikono miwili.
 
Karibu mpaka ndani, jiskie upo nyumbani.
 
Back
Top Bottom