OMKEIT 93 JF-Expert Member Joined May 12, 2026 Posts 294 Reaction score 442 Oct 18, 2026 #21 Andromeda Galaxy said: Karibu sana JF Click to expand... Kwani ni lazima kuomba kukaribishwa humu ndani ?
Andromeda Galaxy said: Karibu sana JF Click to expand... Kwani ni lazima kuomba kukaribishwa humu ndani ?
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,709 Oct 18, 2026 #22 OMKEIT 93 said: Kwani ni lazima kuomba kukaribishwa humu ndani ? Click to expand... Si lazima mkuu ni maamuzi binafsi ya mtu kuomba kukaribishwa
OMKEIT 93 said: Kwani ni lazima kuomba kukaribishwa humu ndani ? Click to expand... Si lazima mkuu ni maamuzi binafsi ya mtu kuomba kukaribishwa
L leva Member Joined Dec 28, 2023 Posts 10 Reaction score 14 Thursday at 1:39 PM #23 Rayamikhal said: Mimi ni mgeni hapa, nimeahidiwa upendo naushirikiano kutoka kwenu naitwa rayamikhal nimwandishi na mtafiti pia hasa kwenye masuala nyeti na ya biashara natumaini kujiunga nanyi litakuwa ni jambo sahihi. Click to expand... Mwandishi kwa mwandiko huu mmh🏃🏃
Rayamikhal said: Mimi ni mgeni hapa, nimeahidiwa upendo naushirikiano kutoka kwenu naitwa rayamikhal nimwandishi na mtafiti pia hasa kwenye masuala nyeti na ya biashara natumaini kujiunga nanyi litakuwa ni jambo sahihi. Click to expand... Mwandishi kwa mwandiko huu mmh🏃🏃