Rayamikhal
Senior Member
- Sep 14, 2026
- 110
- 207
Karlibu sana mkuu Rayamikhal hayo masuala nyeti ni kama yapi labda?Mimi ni mgeni hapa, nimeahidiwa upendo naushirikiano kutoka kwenu naitwa rayamikhal nimwandishi na mtafiti pia hasa kwenye masuala nyeti na ya biashara natumaini kujiunga nanyi litakuwa ni jambo sahihi.
Wewe upewe tu kazi ya kupokea wageni, uko active sana!Karlibu sana mkuu Rayamikhal hayo masuala nyeti ni kama yapi labda?
Hahhhh umeona eeeh.... huenda nina talanta ya ubawabu mkuu!!!Wewe upewe tu kazi ya kupokea wageni, uko active sana!
Tusiache kukarimu wageni, maana wengine waliwakaribisha malaika.... Hata hapa JF naniajuaye...Wewe upewe tu kazi ya kupokea wageni, uko active sana!
Unawezaje kuwa mwandishi wakati hauwezi kuzingatia alama za uandishi?Mimi ni mgeni hapa, nimeahidiwa upendo naushirikiano kutoka kwenu naitwa rayamikhal nimwandishi na mtafiti pia hasa kwenye masuala nyeti na ya biashara natumaini kujiunga nanyi litakuwa ni jambo sahihi.
Wakaribishe kwa niabaTusiache kukarimu wageni, maana wengine waliwakaribisha malaika....
Karibu mgeni
Kuna waume na wake za watu humu kuwa makini
Karlibu sana mkuu Rayamikhal hayo masuala nyeti ni kama yapi labda?
Wewe upewe tu kazi ya kupokea wageni, uko active sana!
Karibu sana
Unawezaje kuwa mwandishi wakati hauwezi kuzingatia alama za uandishi?
Sawa sawaTaratibu yataonekana kilasiku, Asante mkuu.
Ahsante kwa taarifa, je umemwambia kwamba ile mimba siyo yake...Mimi sijaolewa, sina mtoto, mdogo afu bado nasoma Mkuu. Shida yenu ndio hio hamuamini mnachokiona