Hello JF

Hello JF

chady

New Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
2
Reaction score
1
Mambo vp members of JF,tupo pamoja katika kuendeleza gurudumu na chachu ya maendeleo kwa kukosoa mabaya na kuongelea mazuri hasa yaihusuyo nchi yetu Tanzania.
 
Mambo vp members of JF,tupo pamoja katika kuendeleza gurudumu na chachu ya maendeleo kwa kukosoa mabaya na kuongelea mazuri hasa yaihusuyo nchi yetu Tanzania.

sio lazma yahusu Tanzania tu, hata abroad tunavuka.
 
Umeingia vizuri... nimependa sana intro yako. Karibu Jamvini
 
Back
Top Bottom