Binti upo? Kitambo sana. Za hapo A town?dah.....huu uzi bana........
na mume ushapata lakini my friendvibaya mno.......
Ni dada mtu mzima. Ingawa sidhani kama ni mmama. Is a tall dark lady.preta sasa umeshakuwa mzee sasa ,za Arusha?
subiria niwe tajiri nitakuja kukuoa maana nikiwa maskini utanikimbiaBado wangu.......una namna.......?
hongera pia kudumu jfWakongwe tupo sana tu humu ndani.......tunaangalia chipukizi........
Hongera kW kudumu muda mrefu mkuuPoa sana.......
Sasa kama tumekuwa wazee.......mnataka mtuue au.....!!!!!?
hahahaah umeufufua....!!!dah.....huu uzi bana........
hahahaah umeufufua....!!!