DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 10,520
- 21,446
Tuma picha yako kwanzaHello,
Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi.
Asante
Tuma picha yako kwanzaHello,
Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi.
Asante
Basi Ni vizuri sana..mana mimi hivyo vyote sina ndo nmekuja kuvitafutia hukusiunajua wanasema kaa karibu na nyuki upate asaliKaribu JF humu kila mtu ana Degree,Usafiri binafsi,Nyumba ambayo ina kila furniture aina zote uzijuazo na kiherehere!!
Thanks mkuuKaribu sana mkuu
Ndio hiyo niliyoweka dpTuma picha yako kwanza
Hello,
Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi.
Asante
New member Hiya😁😁Hello jeiefers!!!!?
ngoja nautafakari huu mwandiko sio mgeni hapa