Licous Barack
Member
- Mar 16, 2017
- 12
- 3
habari zenu Mimi ni mgeni naombeni kukaribishwa
asante mkuu ushabiki gain tena Mimi sio mshabiki bhanaKaribu ila punguza ushabiki
asante sana mkuuKaribùuuu
wewe papupi mbona unajina la rafiki yangu Hilo papupi ni jina la rafiki yanguKaribu sana.. ila tunaomba vyeti kwa ajili ya uhakiki
asante mkuu picha inakujaKaribu sana.
Usisahau kutupia picha ili tujuane vizuri
Rafiki ako yupi?wewe papupi mbona unajina la rafiki yangu Hilo papupi ni jina la rafiki yangu
rafiki yangu yupo Arusha mkuu au ni wewe niniRafiki ako yupi?
Hapana mkuu mm nipo Chanika kijiji cha Chole kata ya Msanga.. na ni kifupisho cha majina yangu mataturafiki yangu yupo Arusha mkuu au ni wewe nini
sawa mkuu tupo pamojaHapana mkuu mm nipo Chanika kijiji cha Chole kata ya Msanga.. na ni kifupisho cha majina yangu matatu