Kulupura
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,052
- 1,183
Nashangaa na Mimi hivyoTokea 2015 bado wewe ni mgeni? Karibu sana.
Utapenda kinywaji gani?Asante
Hongera kwa kupiga kitabu.Masomi, pia ubusy WA kutafuta chapaa
Hayaaaa bibie.Hello! I am new member of this site and I am very interested.
AsanteHongera kwa kupiga kitabu.
Hello! I am new member of this site and I am very interested.
Waooh! Napenda Pepsi mkubwa waoUtapenda kinywaji gani?
Asante, ila simfahamu huyo biyancaU mzuri kama Biyanca wa Henry Danger?
Asante
Asante
Utamfahamu vipi bila kufahamiana na mimi?Asante, ila simfahamu huyo biyanca
AsanteUtamfahamu vipi bila kufahamiana na mimi?
Nipo DarKaribu dear!
Uko mkoa gani eti jamani!
Asante kwa ushauriDuh,
Njoo na akili Tu humu tabia utazikuta humu humu ila usije ukaziiga