Hello, hodi hodi

Hello, hodi hodi

RabidDog

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
60
Reaction score
54
Nafikiri ni mila na tabia za kiafrika kubisha hodi ili ufunguliwe! Kwa mila hiyo hiyo nami nagonga hodi ndani ya jukwaa! Nategemea karibu has kwa waungwana wote! Hata hivyo rabidDog tabia yake wengi wanaijua!
:lol:
Asante Wana JF
 
Naogopa rabies wewe ni muathirika.......karibu lakini!
 
Back
Top Bottom