Hello hellow tanzaniaaaaa,mapenzi ya dhatiiii!!!

Hello hellow tanzaniaaaaa,mapenzi ya dhatiiii!!!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
HELLOHELLOW TANZANIA MAPENZI YA DHAT!!
Jamani sijui nipo peke angu au tupo wengini tunyimbo hutu naona sasa tunashika kasi...je we mwenzangu umeipenda ya toka mkoa gani na unaweza kuiandikA HAPA ili tuinjoi zaidi...
mi naanza na ya KINYAKYUSA
NAGOLOSYA AMAKONO YANGU KUMWANYAAAA!........IKISU KISULUMENYEE NA IMIKONO MITALALIFUUU!
KAMA NIMEKOSEA KWA WANYAKYUSA mtanisahisha...mi nimenda tu jamani na ile toka ARUSHA kama kidhungu....!
BIG UP kwa ubunifu wa hali ya juu kwa wote mliohusika nampango huu,kweli unahamasisha UZALENDO kuipeda NCHI,KUPENDANA NA KUJALIAA.
Na kama kuna kabila bad haijaanza kusikika mana nasikia hii ni kampeni ya mkoa kwa mkoa unaweza ukaweka hapa kwa kilugha chako ili tujumuike kufurai.yaani kiandike kwa kilughachako.....mlinielewa itakuwa rahisi.
 
Mkuu hii kitu ni nzuri, kutukumbusha ukabila wetu ndani ya Tanzania, huo ni sehemu ya uzalendo.

Nami nina kanyimbo ka kigogo ningependa kukaweka, ila napata shida mbili, ya awali nashindwa kufuata sarufi sahih¨¬ kuandika ninapoandika najikuta herufi ndogo na kubwa zinachanganya pakuweka, kiswahili na lugha ya malikia zinajiingiza humo. n.k. pili wimbo unahusu Asali ila sidhani kama utaleta picha nzuri kwa jamii, huku kwetu Asali tunaiita U.chi.
 
Mkoa kwa mkoa

Kipindi kilikuwa kizuri sana kinaendana na mada yako mkuu
 
Nauliza tu huenda ni clouds tu ndo wana huu mpango au na redio zingine??
Mana hapa tena redioni nasikia nanyoosha imikono yangu kuigulia ..........yaani kweli kirugha kitamu!
 
Mkuu hii kitu ni nzuri, kutukumbusha ukabila wetu ndani ya Tanzania, huo ni sehemu ya uzalendo.

Nami nina kanyimbo ka kigogo ningependa kukaweka, ila napata shida mbili, ya awali nashindwa kufuata sarufi sahih¨¬ kuandika ninapoandika najikuta herufi ndogo na kubwa zinachanganya pakuweka, kiswahili na lugha ya malikia zinajiingiza humo. n.k. pili wimbo unahusu Asali ila sidhani kama utaleta picha nzuri kwa jamii, huku kwetu Asali tunaiita U.chi.
weka tu bwana....yaani natamani hata uandike muda huu it seems to be so SWEEEEEEET!
Come this way please!
 
Hayu mwana mwana, hayu mwana mwana kakudaya mwanax 3. Pande za ifakara hello tanzaniaaa

mkuu hapo kwenye HAYU MWANA TANZANIA mbona haipo yaani kama inavyoimbwa kwa kiswahili!
pangilia vizuri halafu kuna wengine humu ubishi wao wa kutosikiliza REDIO WANAKOSA uhondo TUNAOSIKILIZA wenzao!FUNGULIENI CLOUDS kama raio zingine mpango huu hawana you will enjoy!
 
Mkuu samahani naomba aliye na mistari halisi ya haka kawimbo aweke hapa na mimi nijaribu kuimba kwa kiluga chetu... regards.
 
Nironga mikono yangu wanga, niisifia nchi yangu maarufu,helo helo tz
 
Mkoa kwa mkoa

Kipindi kilikuwa kizuri sana kinaendana na mada yako mkuu

sijakupata best una mana kipindi gani mana hapa nimeongelea zile nyimbo zinazoimbwa na watu wa makabila mbalimbali kwa lengo la kuhamasisha upendo kwenye jamii sasA SIJAJUA kama ni REDIO ZOTE au ni CLOUDS TU!
 
Nitakuwa nilikuelewa vibaya, nilijua ulimaanisha nyimbo za asili za aina yoyote, ndio maana nikakumbuka kipindi cha redio kilikuwa kinaitwa mko kwa mkoa
 
Mkuu samahani naomba aliye na mistari halisi ya haka kawimbo aweke hapa na mimi nijaribu kuimba kwa kiluga chetu... regards.

HELLO HELLO TANZANIAAAA!( wanadakia watu hapa )TUIMBEE! ! !Nanyoosha mikono yangu juu!!! naisifu nchi yangu maarufu.Hello hello Tanzaniaaaaaaaaa,hellow Tanzania..SAMBAZA UPENDO!ONYESHA UZALENZO!!
Sasa kama kuna sehemu nimeacha nitakuandikia tena mana hapa nimetega sikio ukianza tu namwaga wino!!!
Naipend sana tanzania amani tele,kuna nchi huwezi hata fikilia mambo ya kuanza kuandika wimbo ni mabomu huku na huko.
Jamani tumshukuru Mungu jamani haya madogomadogo ni ya kuyakemea na yashindwe na KULEGEA.
I LOVE TANZANIAAAAAA!!!
 
SORRY SIO UZALENZO NI UZALENDO MANA WAKIJA WATAALAM WA LUGHA HAITAJULIKANA KAMA IS JUST AN ERROR BUT WILL BE something else!!
 
Nilisikia asbh ya leo kuwa hii kampeni ya upendo kwa watz Clouds media ndio wameasisi kama ilivokuw kwa FURSA za mkoa kwa mkoa
 
yet some people do hate clouds FM unnecessarily

Hata mimi hapo huwa pananishangaza!ivi hapa DUNIANI akitakiwa asimame mtakatifu asie na DOA itakuwaje,labda cha msingi mtu akikosea mnamkanya na pia mnamwelekeza !ASIPOELEWA kuna njia nyingi sana si kususa!
 
Nilisikia asbh ya leo kuwa hii kampeni ya upendo kwa watz Clouds media ndio wameasisi kama ilivokuw kwa FURSA za mkoa kwa mkoa

jamani kumbe,kusambaza upendo ni kitu kizuri sana kuliko chuki miongoni mwetu bila kujali anayeusambaza ni nani as long as is for the benefit of our country!!
 
Nitakuwa nilikuelewa vibaya, nilijua ulimaanisha nyimbo za asili za aina yoyote, ndio maana nikakumbuka kipindi cha redio kilikuwa kinaitwa mko kwa mkoa
poa usijali wangu pamoja sana!!
 
Nironga mikono yangu wanga, niisifia nchi yangu maarufu,helo helo tz

hapo mkuu kwenye neno Wanga ndo imesimama badala ya nini?na je ni lugha gani iyo?aksante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom