ALPHRED MAHUNJA
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 308
- 161
Kwetu kwa wapogoro a.k.a wana wapakaya kitikio cha huo wimbo ningeimba "nanyosha mawoko gangu kumbindi, nakuinemela nchi gangu waimanyite x 2. Ayo ayo tanzaniaaa eeeh,ayo ayo gupendo gwa kweli , ayo ayo tanzaniaaa eeeh, ayo ayo mapenzi gwa dhati . Karibuni pande za ulanga na kilombero hello hello tanzania tuongee kipogoro