Mh ila hata hii ya Beka ni ya hatari,maana nilikuwa najaribu ku-compare kwenye video kati ya Joe Thomas na Beka naona mzee mzima Joe katumia msuli mwingi sana kwenye kuvuta sauti wakati Beka kaenda kiulaini sana.Hivi Huyu Beka ametokea wapi na anafanyia mziki wake wapi,kuna mwenye taarifa za mziki wake,sorry for going out of topic.Mtoto wa Mbwa Beka ndio kaua, na kichupa kikali sana kwenye ufukwe wetu mchafu...
Bonge Copy!
Usijilaumu wewe.nasikia haka ka ugonjwa kanatupata sana sisi tunaopenda mademu wazuri na hela hatuna😛
You have nailed it.Naupenda sana huu wimbo --the original slow rhythm..
Maybe ana huu ujumbe
"When we were younger and free
I've forgotten how it felt before the world fell at our feet"
what ever it is --dont waste your time assuming a million things , reach out to the person, thank him for such a nice
Naupenda sana huu wimbo --the original slow rhythm..
Maybe ana huu ujumbe
"When we were younger and free
I've forgotten how it felt before the world fell at our feet"
what ever it is --dont waste your time assuming a million things , reach out to the person, thank him for such a nice song and ask kiaina what was the exact reason for that particular song.
song and ask kiaina what was the exact reason for that particular song.
It feels good to live in a world of Fantasy...😉Ooh really.... let me keep on listening to the song..... hello from the other side. ......
THT kama sikosei...Mh ila hata hii ya Beka ni ya hatari,maana nilikuwa najaribu ku-compare kwenye video kati ya Joe Thomas na Beka naona mzee mzima Joe katumia msuli mwingi sana kwenye kuvuta sauti wakati Beka kaenda kiulaini sana.Hivi Huyu Beka ametokea wapi na anafanyia mziki wake wapi,kuna mwenye taarifa za mziki wake,sorry for going out of topic.
And when you wake you realize ulikuwa unaota!It feels good to live in a world of Fantasy...😉