Asamehewe bure!
Nashawishika kumuachia MUNGU tu ba'mkwe.
Mhh! Pole sana....kwa upande wangu sina kinyongo naye kwani atajiju mwenyewe!
Mkuu hebu shtuka kidogo hapa Invizibo kafanya ID's merging....huyu juzi alikuja jukwaani hapa kama aviator...angalia post ya kwanza toka kwa Katavi
Jana nilimuuliza swali la kizushi hahah akajichanganya...na Invizibo hakufanya ajizi...
Mmmh pole rafiki...ni vyema umemjua sasa!
Nitasaidia kukupeleka Muhimbili tu...
Mfanyie mambo fastaa
hawezi thubutu kunipiga makonzi. kwanza kwa mkasa wake huu lazima yeye ndio a-bow down!
kuna baadhi ya ids hapa zinanitamanisha
Passion Lady
Paloma
Lady doctor
Arushaone
Chocs
Madame B
everlyn salt
The secretary
Come ladies and pm me