Augustoons
JF-Expert Member
- Oct 31, 2007
- 409
- 30
Yupo salama, mhifadhi wa selous amethibitisha. suala lilikuwa ni kutua vibaya tu. sio kwamba ilipoteza contacts.
Mungu ata wanusuru
Kama kuna Helkopta iliyoanguka basi siyo ya CCM. Uongozi wa chama umethibitisha uwepo wa chopa zote bila tatizo lolote
Mi team lowassa ila namkubali sana Deo filikunjombe.
Eeh, Mbona uchaguzi wa mwaka huu unataka kuwa wa majanga? Wagombea wanne wa ubunge wameshafariki. Mungu liepushie majanga taifa hili
Duh.... Ngoja tuweke siasa kando!!
Mungu awaepushie madhara na wawe salama!!
ITV wamethibitisha Deo kuanguka na ndege na yupo salama.
Ooh, asante Yesu
Eeh, Mbona uchaguzi wa mwaka huu unataka kuwa wa majanga? Wagombea wanne wa ubunge wameshafariki. Mungu liepushie majanga taifa hili
Umeshaondoka Iringa? Nakutafuta sana we bintii