Wewe ndie mjinga, kwani Malawi wanamiliki ziwa (maji)na sio ardhi ambako nyie mumejenga bandari za Mbambabay na Kyela.
Werema hawezi kufanya research thabiti kabla hajafikia conclusion. Mimi nikipewa hiyo kesi nitawabwaga Malawi bila hata kesi kusikilizwa, yaani kesi itakwisha kabla haijaaza. Nitatumia document hizi mbili tu; Heliogland-Zanzibar treaty, na hiyo The British Central Africa Order In Council ya August 1902. The fact kuwa Heligoland treaty ya mwaka 1890 ilikuwa ni temporary agreement, hivyo inakuwa superseded na hiyo Order in council ya mwaka 1902, na kuliacha ziwa halina mwenyewe. Hapo ndipo UNCLOS, RIPARIAN na LITTORAL RIGHTS (kama zilivyoanishwa na Ubungoubungo, na Azipa) zinatumika
Serikali ya Tanzania inalijua hili kwa wazi na mapana yake kwamba hatuna haki hata ye tone moja la maji ya Ziwa Malawi.
Serikali haitakiwi kulifanya jambo hili la kisiasa maana kama ni siasa zako utacheza na wananchi wako lakini unaoweza kuwapiga mabomu ya machozi lakini si kwa watu kama Malawi ambao ni Soveregn state subject to international laws.
Kama kweli Tanzania inataka hata tone moja la Ziwa Nyasa, iachane na porojo za kisiasa na i-file lawsuit for the boundary ili mpaka uwe katikati ya maji kama wengine duniani.
Vinginevyo tutapigizana kelele kama wajinga na hakuna litakalotokea. Tutasubiri Rais wa Malawi tunayechekeana naye anayewapiga mabomu wapinzani wake nchini mwake, sisi tunatumia ziwa lile na kudhani kama ni letu.
Kesho wapinzani wa Malawi waliokuwa wanapigwa mabomu ya mchozi wanakamata nchi, na nyinyi mliokuwa ama mnakaa kimya bila kumkemea anaona mnatumia ziwa lake na si lenu. Kwa nini asilie na nyinyi.
Mimi huyu mama wa Malawi namkubali. Inawezekana anawapa fundisho wote waliomkera akiwa mpinzani wa serikali. Unadhani kwa nini alisema hamtaki Omar Bashir kuja mle.
Mwacheni mama yetu awafundishe adabu wote wanaodhani tutafumbia maonevu ya dunia na ndipo mjue muonewaji akikamata power mjue litakalotokea.
Najua kuna watakaonikejeli kuwa sina uzalendo. Hapa si suala la uzalendo. Baba na mama yangu wakifanya ujambazi wa kumdhulumu jirani yangu siwezi kukaa kimya na kuwatetea kwa kinachoitwa uzalendo. Huo ni wizi.
Nendeni Mahakama za Kimataifa kuwashinda wamalawi na msidhani wa kupelekwa mahakamani ni migomo ya madktari na walimu tu.
Read this Heligoland treaty document between German & Great Britain which is the one of the documents used by the Malawi government to argue their case.
[/COLOR][/SIZE][/B]
Wewe ndo twambie sasa hiyo convention ya 1982 inasema nini !
Read this Heligoland treaty document between German & Great Britain which is the one of the documents used by the Malawi government to argue their case.
Mwita Maranya kwasababu kosa limekuwa likitendeka kwa muda mrefu hiyo haibadilisha kitendo hicho kutoka kuwa kosa hadi usahihi mpaka hapo taratibu nyinginezo zitakapofanyika...Nikupateje wewe utakuwa mmalawi uliyejibanza hapa kwetu.
Kama ni mtanzania basi utakuwa jinga kabisa. Miaka yote wamalawi walikuwa hawajui kwamba ziwa lote ni la kwao?
Nachojua ni kwamba malawi watake wasitake, wapende wasipende tunagawana pasu kwa pasu ziwa nyasa.
Kwa ushauri tu, hiyo hiyo Heligoland Treaty uliyoibandika hapo ungesoma Article VI ndio ungeelewa dai la Tanzania.
Mkuu you are referring "Law of the Sea" while here we are discussing "Lake Malawi/Niassa/Nyasa"! Mwisho utakuja kudai EEZ ndani ya Lake Nyassa!! Hiyo UNCLOS Convention is not applicable here! Pia kujenga ports n.k. si kumiliki Lake! Na Wamalawi hata siku moja hawajawazuia kutumia Lake Nyasa for transportation, fishing n.k. Na hata meli yao MV Ilala ilikuwa inatia nanga Itungi port Kyela.
Wao walichofanya ni kutafiti upatikanaji wa gesi ziwani ndio sisi tunakurupuka kuwa Ziwa pia ni letu!!!
Na vipi ikitokea upande mmoja ukakataa kufanya majadiliano baada ya kuamini wana haki zote?
bdo unaweza kuingia Google ukatafuta malawi Map au atlas of Malawi wikimedia au bofya hapo
nashukuru km tunaanza kuelewa pa kuanzia ni wapi na kwanini waMalawi wamepata king katika draft hili Atlas of Malawi - Wikimedia Commons
Kwa ushauri tu, hiyo hiyo Heligoland Treaty uliyoibandika hapo ungesoma Article VI ndio ungeelewa dai la Tanzania.