kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Wanajavi wenzangu tu wekane sawa. Hi dhani ya kwambia wananchi Rais katoa hela ya mradi fulani, au ujenzi wa barabara au chochote kile chamaendeleo imekaaje hapa? Ina maana siku hizi serekali haina hela? Na kwamba hela zote zipo mkononi mwa rais kweli?
Hii tabia yakupotosha wanchi kwa kusema rais ndo ana hela na sio serekali.
Nchi inaendeshwa kwa bajeti ambayo inapitishwa na bunge, na sio ofisi ya rais na rais anaanda bajeti ya nchi kuhusu miradi ya nchi.
Kama hela na mipango yote inapangwa na rais, basi bunge lifutwe halina maana. Kama bunge linapitisha bajeti na kutekelezwa na kila wizara. Sasa hii tabia ya kusema rais katoa hela fulani kwaajiri ya mradi fulani nikitu cha kushangazwa sana.
Hebu tu nyambulike hapa.