Hela za Miradi nchini; Anatoa ni Rais au Serikali?

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,395
512
Wanajavi wenzangu tu wekane sawa. Hi dhani ya kwambia wananchi Rais katoa hela ya mradi fulani, au ujenzi wa barabara au chochote kile chamaendeleo imekaaje hapa? Ina maana siku hizi serekali haina hela? Na kwamba hela zote zipo mkononi mwa rais kweli?

Hii tabia yakupotosha wanchi kwa kusema rais ndo ana hela na sio serekali.

Nchi inaendeshwa kwa bajeti ambayo inapitishwa na bunge, na sio ofisi ya rais na rais anaanda bajeti ya nchi kuhusu miradi ya nchi.

Kama hela na mipango yote inapangwa na rais, basi bunge lifutwe halina maana. Kama bunge linapitisha bajeti na kutekelezwa na kila wizara. Sasa hii tabia ya kusema rais katoa hela fulani kwaajiri ya mradi fulani nikitu cha kushangazwa sana.

Hebu tu nyambulike hapa.
 
Kuna miradi inaelekezwa na serikali lakin pesa zinatoka kwa wahisani na mingine fungu la serikali
 
Wanajavi wenzangu tu wekane sawa. Hi dhani ya kwambia wananchi Rais katoa hela ya mradi fulani, au ujenzi wa barabara au chochote kile chamaendeleo imekaaje hapa? Ina maana siku hizi serekali haina hela? Na kwamba hela zote zipo mkononi mwa rais kweli?
Hii tabia yakupotosha wanchi kwa kusema rais ndo ana hela na sio serekali.
Nchi inaendeshwa kwa bajeti ambayo inapitishwa na bunge, na sio ofisi ya rais na rais anaanda bajeti ya nchi kuhusu miradi ya nchi.
Kama hela na mipango yote inapangwa na rais, basi bunge lifutwe halina maana. Kama bunge linapitisha bajeti na kutekelezwa na kila wizara. Sasa hii tabia ya kusema rais katoa hela fulani kwaajiri ya mradi fulani nikitu cha kushangazwa sana. Ebu tu nyambulike hapa.
Huyu rais wa sasa sio wa kawaida ndio maana kuna uzi humu unauliza kama kuna mtu anajua nchi anakoipeleka. Ila ni kawaida ya madikteta pote ulimwenguni
 
Anarubi wananchi kwamba hela yote ya nchi ni yake. Wakati huohuo anakesha kuomba watu walipe kodi. Tena anaomba kwa nguvu kweli. Kesho anawaambia wasiojielewa wengi baada yakuwanyima elimu vijijini kwamba yeye ndo mwenye pesa. Dah! Yeye ni msimamizi tuu nasio mgawaji wa pesa ya serekali.
 
Wanajavi wenzangu tu wekane sawa. Hi dhani ya kwambia wananchi Rais katoa hela ya mradi fulani, au ujenzi wa barabara au chochote kile chamaendeleo imekaaje hapa? Ina maana siku hizi serekali haina hela? Na kwamba hela zote zipo mkononi mwa rais kweli?

Hii tabia yakupotosha wanchi kwa kusema rais ndo ana hela na sio serekali.

Nchi inaendeshwa kwa bajeti ambayo inapitishwa na bunge, na sio ofisi ya rais na rais anaanda bajeti ya nchi kuhusu miradi ya nchi.

Kama hela na mipango yote inapangwa na rais, basi bunge lifutwe halina maana. Kama bunge linapitisha bajeti na kutekelezwa na kila wizara. Sasa hii tabia ya kusema rais katoa hela fulani kwaajiri ya mradi fulani nikitu cha kushangazwa sana.

Hebu tu nyambulike hapa.
Nani approving officer na nini maana a approval? Ukifahamu hii utajua nani anatoa hela ya miradi. Kwa lugha nyingine ukijua nani yuko responsible na Nchi hii hutahitaji kuuliza tena swali hili.
 
Budget ya miradi ya maendeleo na/ ya matumizi ya kila siku ya serikali, huwa inapitishwa (approved) na bunge.
 
Huwa anatoa yeye hata kujenga airport kulee katoa yeye,zingine alikua anagawa kwa wananchi barabarani au hukuona picha
 
Ina maana leo hii nchi hii haifwati budget yake. Mkulu ndo yeye kila kitu, au ndo kiki za 2020? Kwamba yeye ndo kilakitu. Mbona wakati wa awamu zilizopita hatukusikia hizi sifa?. Leo mwa sisiem ana endekeza sana hizi sifa. Tulipofikia sio pazuri. Rais anajichosha tuu. Fanya mambo kimia kimia, watu wataona mheshimiwa.
Hata yeye anakatabia kakusema nitatoa au nimetoa. Dah! Afute wizara zote basi.
 
Wanajavi wenzangu tu wekane sawa. Hi dhani ya kwambia wananchi Rais katoa hela ya mradi fulani, au ujenzi wa barabara au chochote kile chamaendeleo imekaaje hapa? Ina maana siku hizi serekali haina hela? Na kwamba hela zote zipo mkononi mwa rais kweli?

Hii tabia yakupotosha wanchi kwa kusema rais ndo ana hela na sio serekali.

Nchi inaendeshwa kwa bajeti ambayo inapitishwa na bunge, na sio ofisi ya rais na rais anaanda bajeti ya nchi kuhusu miradi ya nchi.

Kama hela na mipango yote inapangwa na rais, basi bunge lifutwe halina maana. Kama bunge linapitisha bajeti na kutekelezwa na kila wizara. Sasa hii tabia ya kusema rais katoa hela fulani kwaajiri ya mradi fulani nikitu cha kushangazwa sana.

Hebu tu nyambulike hapa.
Mkuu, awamu hii, tena kwa mdomo wake mwenyewe, hela anatoa Rais. Hakuna hela inatoka bila yeye kusema.
Bunge halina kazi tena. Budget wanayopitisha havina maana kwake.
 
Back
Top Bottom