Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,637
- 33,850
Endorgan kweli in kichaa yule MTU.Waturuki ni sawa na Wanaigeria huko Ulaya na Asia... full utaperi... wakifuatiwa na baba lao Iran....
Edogan Ni Mpumbavu sana yaani kama Bblia iliandika kuwa Wagalatia(ambao ndio asili Waturuki) ni wapumbavu ilipatia haswa na huyu Peridaa wao ni typical Garatia... Jitu la Visasi visivyo na akili.. Yaani kama ingekuwa Tanzania Watu elfu kumi wakiandamana basi unakamata wote unawafunga jela... badala ya kudeal na viongozi wahamasishaji pekee... anatesa sana raia wake mpenda sifa huyo... Yaani alikuja Tanzania akashurutisha Shule za Feza zifungwe zote Tanzania kisa mwenye Shule ni Mpinzani wake Hongera Tanzania kwa kumpuuza.. Ugombane nae wewe kisha umgombanishe na wengine... good sana kumpuuza... Marekani alimuambia wewe Garatia lete ushahidi mwishowe akakosa lakini bado anang'ang'ania Fetullah arejeshwe Uturuki amkamue... hasira zake akamkamata pastor wa Kimarekani masikini zake akamtia lupango sasa Marekani kamuambia amuache huru au akichezee kichapo ambacho hata raia wa Uturuki watamchoka juzi kajiapisha eti yeye hana Dollar ila ana Allah... Mie nimekaa Pembeni natizama Game tuliona Majeuri kina Gadafi mwishowe walikichezea cha aibu... ewe Garatia kwanini mu wapumbavu...
Ila beef na marekani lilianza baada ya end organ kugundua marekani walipanga mapinduzi ya kijeshi kumwondoa endorgan.
Gullen yule hata bila kuuliza ni asset ya wa marekani.
Kuhusu huyo askofu,in CIA agent,alitumwa uturuki kukusanya intelligence,
Hata Leo huko twitter kulikuwa kuna picha zikimuonyesha akikutana na wapiganaji wa kikurdi YPG,Sena sikuzisave ningekuekea hapa