Hela ya radar yarejeshwa

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,574
2,000
Jana Membe kasema BA systems wameomba account ya TZ ili waweke pesa ya watanzania
pesa kutumiwa kununua vitabu milioni nne,nyumba za walimu mia hamsini na madawati laki mbili

my take:je waliokula rushwa kuwajibishwa?
 
Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
0
Jana Membe kasema BA systems wameomba account ya TZ ili waweke pesa ya watanzania
pesa kutumiwa kununua vitabu milioni nne,nyumba za walimu mia hamsini na madawati laki mbili

my take:je waliokula rushwa kuwajibishwa?
...Nilimsikia jana Membe runingani akijitapa kuwa pesa iliyoibiwa inarudi katika mikono ya watanzania nikajiuliza hivi ndio tunaishia hapo basi tunakung'uta miguu na kuvuta shuka au kuna kubwa zaidi tunawajibika kulifanya ili kukomesha mambo ya namna hiyo. Pili tutathibitisha vipi kuwa kweli nyumba za walimu zimejengwa, madawati yametengenezwa na vitabu vimenunuliwa? Tunaweza tu kuishia hapo katika kutangaza kuwa BA Systems wamerudisha pesa ambazo zinaaishia kufisadiwa tu.
 
Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,703
0
Hizo ni hela za mafisadi kujirusha tu.Mtanzania wa kawaida hatanusa hata chembe.Mbayaaa.
Jana Membe kasema BA systems wameomba account ya TZ ili waweke pesa ya watanzania
pesa kutumiwa kununua vitabu milioni nne,nyumba za walimu mia hamsini na madawati laki mbili

my take:je waliokula rushwa kuwajibishwa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom