πππNaona bro unauliza ili ujue wapi pa kuanzia kupigaWewe ni me au ke tuanzie hapo
Naa umefanya nimecheka hapaAsante, mtu mmeoana miaka 10 imepita hajawahi nnua hata kijiko na kila siku anaviona ndani anahisi vinaota π€£ kazi kusema pesa yako inaenda wapi
ila sivimeonekana vipo, kdg kasapoti kanaonekanaHivyo vikanyagio vina thamani ya milioni 3 au 4 kwa mwaka?
Mapazia, na vinyangalio vyote vinazidi thamani ya milioni 5 kwa mwaka?
Ndio ninyi zawadi kubwa ni wallet na socks halafu mnaonga milioni ππππππ
Huo ni mfano tu lakini wanaume kuna matumizi madogo madogo mengi sana nyumbani mnayapotezea, na mwanamke ndo atajua saiv tuna uhaba wa sufuria za kupikia au familia imekua inabid kuongeza mataulo ila kutwa lawanaHivyo vikanyagio vina thamani ya milioni 3 au 4 kwa mwaka?
Mapazia, na vinyangalio vyote vinazidi thamani ya milioni 5 kwa mwaka?
Ndio ninyi zawadi kubwa ni wallet na socks halafu mnaonga milioni ππππππ
Unatetea viumbe visivyojua akili zao zinataka nini? Unajua athari gani vinapata kwa kuweka viungo feki kama kope ktk miili yao?Me, nimeamua niwateteee leo sio kila uzi jf ni lawama tu
Sapoti ya dizaini hii, ni sawasawa na mtu awe anajenga ghorofa halafu anakuletea jagi la maji.ila sivimeonekana vipo, kdg kasapoti kanaonekana
Hongera kwa kupata wife material!Pesa ya mwanamke ni tamu sana, huwa nazitumia kunywa bia , inakua tamu kinouma
Hahaha sio kweli ni totozi za kulia bata tu ,wife material nilisha tengana naeHongera kwa kupata wife material!