Jasho ni aina ya kijikoMkuu soma maandiko "utakula kwa jasho"
Au unadhani jasho ni jina la mtu?
Mkuu kusaidiana ni jambo zuri ukiona ajiongezi uaitake lazima iwe hivyo pesa ya mwanamke huwa zina kelele sana.Kusaidiana ni muhimu sana mkuu. Unakaaje na mwanamke mwaka mzima hata vest au boxer moja hajawahi kukununulia?
Mwanamke ana upendo wa kweli pale ambapo amechukua maamuzi yake mwenyew kukupenda bila wewe kutia sound zako,Boss binafsi sijakuelewa vizuri kwa sababu mara nyingi watu wamekuwa wakisema wanawake wanapenda kweli....pia hata makala mbalimbali yanaeleza hisia za kupenda kwa mwanamke..... Sasa wewe ulivyosema wanawake hawapendi kweli yani wapo kimasilahi zaidi,kwa kweli sijakupata yani unataka utuambie wanawake hawana,hisia za upendo au hisia hizo zimehalibika kutokana safari ya maisha? Mkuu nahitaji uchambuzi wakina maana hii kesi sio mara ya kwanza kusikia
[emoji3][emoji3][emoji3]We ulisikia wapiInaweza kutoka kirahisi tu, ila siku ukiyakoroga ndo utajua pesa ya mwanamke sio ya kuililia, wacha afanye jambo kwako kwa hiyari yake.... Mwanamke ametoka kwenye ubavu wa mwanaume, ko wanaume ni jukumu lenu kutunza wanawake zenu acheni malalamiko.
Inaweza kutoka kirahisi tu, ila siku ukiyakoroga ndo utajua pesa ya mwanamke sio ya kuililia, wacha afanye jambo kwako kwa hiyari yake.... Mwanamke ametoka kwenye ubavu wa mwanaume, ko wanaume ni jukumu lenu kutunza wanawake zenu acheni malalamiko.
Mimi mpenz wangu ana nipa hela nyingi tu, lakin Kuna siku aliniambia nakupa pesa kwa sababu kazin kwake ana pata peza za madili hategemei mshaara ange kuwa ana tegemea mshaara pekee asinge nipa hela yakeMsizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
Papa upewe, na hela pia upewe. Afrika anayeoa ni mwanaume. Kama ulikuwa hujajipanga usingeoaKwani wanawake wao wanasemaje?
Wanawake wengi ni wabinafsi sanaaa na hii ni kwa bongo/ TAnzania na sidhani kwa wenzetu weupe wapo hivi
Nakumbuka juzi juzi Hapa baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi maalumu, Sasa nikabahatika kupata kazi mbili
But ilihitaji kiasi flani cha pesa na sikuwa nacho, nikapambana sana sikufanikiwa, nikaona ngoja ni mjuze mwanzangu huyu
Sasa basi nikamweleza bwana neema imenitembelea, ila nilikuwa naomba unitaftie sehemu nipate ela kwa riba nafuu ili nijiandae kwa ajili ya kazi au ukikosa unaweza nikopesha kwa riba hata wew(NB: yeye ni mtabibu wa ngazi shahada katika hospital kubwa hapa TZ)
Nilichojibiwa kiukweli sikuwahi kutegemea wala kudhani kuwa ndo yeye ananijibu hivi??
Alinijibu "yeye pesa zake hazikopeshwagi" na akaendelea kusema inabidi ujiandae kabla hujafanya jambo
Niliumia ila nilijikaza, nikajisemea ila hii kazi kwani nilitarajia kupataaa? Mpaka nijiandae...daaah nikapiga moyo na nikavunjika moyo saaana..... nikajisemea huwenda hafurahishwi na Mimi kupiga hatua au tayari akufukuzae hakwambii tokaa???
Inshort sikutegemea yaliyotokea, from that day nilimtoa kichwan na moyoni.....
NB: wakati yeye anaomba kazi nilikuwa nae bega kwa bega mpaka siku anareport anaanza kazi
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Mimi sioni sababu ya mwanaume kulazimisha mama kuweka mahesabu yake mezani, acha afanye yeye kwa kupenda inatosha